Major (meja) - Kubwa
Minor (maina) - Ndogo
Flat (flati) - Ni kitamkwa cha nota kumaanisha nota
imeshushwa/imeshuka nusu
Sharp (shapu) - Ni kitamkwa cha noti kumaanisha
nota imeshushwa/imepanda nusu
Harmony (hamoni) - Sauti
inayoundwa/kusikika kwa kupiga noti Zaidi ya moja kwa wakati mmoja
Melody (melodi) - Sauti
inayoundwa/kusikika kwa kupiga noti moja baada ya nyingine kwa kupokezana
katika mtiririko maalum na wenye kuleta maana.
Kama una maswali au mchango wowote waweza changia hapo kwenye kibox chini. Endelela kuwa nasi na Mungu akubariki sana.
Sephone Sospeter.
No comments:
Post a Comment