Monday, 12 February 2018
UIMBAJI/MUZIKI KAMA HUDUMA NA SANAA
1.UIMBAJI/MUZIKI KAMA HUDUMA:: Kaa kwenye neno & Tafuta Wese LA kutosha LA Roho Mtakatifu...
2. UIMBAJI/MUZIKI KAMA SANAA: Ongeza maarifa juu ya UIMBAJI/muziki & Fanya mazoezi ya kutosha kwa bidii.
2 Wafalme 3:15..
Hivi vitu havina Mbadala, ni kweli Roho mtakatifu kakupa ujumbe na sauti ya wimbo But unahitaji kuuleta kwenye sanaa (Professionalism). Ili ukae kimpangilio na kimantiki..(Maarifa & Mazoez).
Ni kweli umemaster vizuri sauti, Scales & Kodi, unahimili vizuri Stage (Professionally). Lakini Nyimbo zako zinapungukiwa Kweli ya Neno LA Mungu,.. Pia hauna mvuto wa kimungu na matokeo ya Kimungu kwenye Muziki wako hata ukiwa madhabahuni..(umepungukiwa Neno & Mafuta ya Roho Mtakatifu.. )
Kama una maswali au mchango wowote waweza changia hapo kwenye kibox chini. Endelela kuwa nasi na Mungu akubariki sana.
Sephone Sospeter.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment