Kuna aina
nyingi sana za muziki duniani, aina hizi huweza kutofautiana toka tamaduni moja
na nyingine, pia aina ya ala zitumikazo na mpangilio wake katika upigaji huleta tofauti kubwa na
kutambulisha aina Fulani ya muziki.
Mfano watu
wa Afrika magharibi (kongo DRC) hutambulika kwa mziki wa Sebene “bolingo’,
rhumba, sokusi. Watu wa Latin Amerika; Mexico, Brazil, Colombia hutambulika kwa
muziki wa chalanga (salsa), samba.
Nchi kama Jamaica wao hujulikana kwa muziki
wa rege. Hivyo kuna aina nyingi tu za muziki hapa nitataja kwa uchache tu; Jazzy, Blues, Rock, Classic, Zouk, Rhumba,
Reggae, Country, Old school, n.k
Kama una maswali au mchango wowote waweza changia hapo kwenye kibox chini. Endelela kuwa nasi na Mungu akubariki sana.
Sephone Sospeter.
Asante Mtumishi wa Mungu. Sasa kibarua kinakuja "najuaje kama hii ni chalanga, sokusi, rock au country"?
ReplyDeleteTUnashukuru kwa uelimishaji lakin tunawezaje kuzitofautisha hizo aina yan kuzijua
ReplyDeleteMziki wa Tanzania ujulikanao kama bongo fleva niaina gani ya radha katika mziki
ReplyDeletenimekubali hii ki2..ila nawezaje kutambua huu mziki unapigwa ni aina fulan??
ReplyDeleteNaomba kujua mziki aina ya kwele
ReplyDelete